Mtumishi wa Mungu kutoka kule Jijini arusha anaekwenda kwa jina la NELLY MUSIC MUGARULA
a nakujia na MAK'SUDI FAMILY MATTERS EDITION CONCERT Hii ni baada ya kutubariki na MAKSUDI live in concert ambayo ilikuwa ya baraka sana. Kwa taarifa zaidi waweza kumfollow Katika social media page zake @nellymusicmugarula kwa upande wa instagram. Pia kufatilia vizuri makala haya waweza kutufollow katika page zetu za instagram @gospeltothenationstv @gospeltothenationstz