Mtumishi wa Mungu kutoka kule Jijini arusha anaekwenda kwa jina la NELLY MUSIC MUGARULA
a
Hii ni baada ya kutubariki na MAKSUDI live in concert ambayo ilikuwa ya baraka sana.
Kwa taarifa zaidi waweza kumfollow
Katika social media page zake
@nellymusicmugarula kwa upande wa instagram.
Pia kufatilia vizuri makala haya waweza kutufollow katika page zetu za instagram
@gospeltothenationstv
@gospeltothenationstz
Comments
Post a Comment